VIKUNDI NA VYAMA VYA USHIRIKA
*Kuratibu uanzishwaji na uendeshaji wa vikundi vya kijamii na vyama vya ushirika.
*Kuendesha mafunzo kwa wanachama, viongozi wa vikundi /vyama vya ushirika na wafanyakazi wa Taasisi za umma na binafsi.
*Uandaaji wa katiba za vikundi na taasisi zisizo za kiserikali(Constitution), masharti ya vyama vya ushirika (By laws), mipango mikakati (Strategic plan), andiko mradi(Project proposal) na mipango biashara(Business plan).
*Kuandaa mpango kazi (Work plan) na mfumo wa usimamizi wa ubora(Quality Assurance System).
*Ukaguzi wa ndani kwa vikundi na vyama vya ushirika.