Sisi ni kampuni iliyosajiriwa na yenye leseni ya kutoa huduma za ushauri wa kilimo na ushirika.
Jukumu letu ni kuhakikisha kuwa wadau wa kilimo na ushirika wanafikiwa na kushirikishwa ipasavyo
ili waweze kunufaika na uwekezaji wao.
Maono
Kushirikiana na taasisi za serikali na zisizo za serikali pamoja na wakulima binafsi ili kufikia uhakika wa chakula na kudumisha uendelevu wa ushirika.
Dhamira
Kutoa miongozo bora katika sekta ya Kilimo na Ushirika ambayo inahakikisha ubora, biashara salama, na kuboresha maisha ya wakulima.